Skip to main content
Skip to main content

Kaskazini mwa Kenya yalenga kujitokeza zaidi katika ramani ya utalii nchini

  • | NTV Video
    274 views
    Duration: 3:08
    Kaskazini mwa Kenya sasa inalenga kujitokeza zaidi katika ramani ya utalii nchini, huku Bodi ya Utalii ya Kenya ikizindua kampeni maalum ya kuitangaza kanda hiyo kama hazina ya vivutio vya kipekee, mandhari ya kuvutia na uzoefu wa aina yake kwa watalii. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya