- 4,060 viewsDuration: 2:32Taasisi ya Katiba Institute imewasilisha kesi mahakamani ikitaka kusitishwa kwa ujenzi wa kituo cha karantini ya wagonjwa wa Ebola nchini. Kesi hiyo imewasilishwa wakati ambapo Chama cha Madaktari nchini Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists Union (KMPDU) kikitoa ilani ya saa 48 kwa serikali kutoa maelezo kwa umma kuhusu ujenzi wa kituo hicho, kikionya kuhusu masuala ya uwazi na usalama wa afya ya wananchi.