- 2,124 viewsDuration: 2:27Shirika la Katiba Institute limemshtaki Inspekta Jenerali wa Polisi kwa kufunga barabara kabla ya maandamanao ya kumbukumbu ya Juni 25. Shirika hili liliwasilisha malalamishi yake kwa mahakama kuu Ijumaa likitaka inspekta Jenerali ashtakiwe kwa kuidharau mahakama kwani korti liliagiza kuwa polisi wanastahili kutoa notisi kwa umma kabla ya kufunga barabara.