29 May 2026 11:18 am | Citizen TV 271 views Duration: 1:00 Katibu katika wizara ya huduma za magereza Dkt. Salome Beacco awarai wakenya kuwakaribisha na kuwakubali wafungwa waliokamilisha vifungo vyao bila ubaguzi ili waweze kutangamana vyema na jamii .