- 405 viewsDuration: 1:10katibu katika wizara ya usalama daktari raymond omollo emtoa onyo kali kwa magenge yenye hulka ya kuzua vurugu kwenye mikutano ya kisiasa. oOmollo amelihakikishia taifa kuwa wizara ya usalama iko macho kukabiliana na magenge hayo na wafadhili wao ili kulinda amani nchini.