Skip to main content
Skip to main content

Katibu katika wizara ya usalama Omollo ahimiza ushirikiano wa jamii kuimarisha usalama

  • | Citizen TV
    334 views
    Duration: 47s
    Katibu katika Wizara ya Usalama wa Ndani Raymond Omollo amesisitiza kuwa serikali inaendelea kujitolea kuhakikisha amani na usalama unadumishwa kote nchini. Akizungumza katika kongamano la kuwawezesha wanawake jijini Nairobi, Omollo amewataka wakazi kushirikiana kwa karibu na viongozi wa ngazi ya chini, wakiwemo wazee wa vijiji, manaibu wa chifu na machifu, ili kuimarisha usalama wa jamii