6 Jul 2026 10:51 am | Citizen TV 674 views Duration: 1:08 Katibu Mkuu wa COTU Francis Atwoli ametoa wito kwa viongozi kutoka ukanda wa Magharibi kususia matamshi ya mgawanyiko akisema yanapaka tope azimio la hayati Raila Odinga.