- 506 viewsDuration: 1:18Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi nchini (COTU), Francis Atwoli, ametilia mkazo uamuzi wa mahakama wa kutowabagua wafanyakazi wa kudumu na wale wa vibarua. Akizungumza na wanahabari jijini Nairobi, Atwoli amewataka waajiri kuwaruhusu wafanyakazi wote kujiunga na vyama vya wafanyakazi ili kutetea maslahi yao.