- 146 viewsDuration: 1:18Katibu katika wizara ya afya Mary Muthoni amewaonya wakenya dhidi ya ulaji wa nyama ambayo haijakaguliwa na daktari wa mifugo, au mizoga ya wanyama waliokufa Akizungumza kanisani Mwihoko, Muthoni alisema kwa sasa wizara yake, kwa ushirikiano na serikali za kaunti ya Meru, wanachunguza mchipuko wa marathi ya kimeta baada ya watu zaidi ya Mia mbili kuathirika. Mtu mmoja alifariki.