3 Sep 2026 1:10 pm | Citizen TV 538 views Duration: 1:48 Katibu katika idara ya biashara ndogo na wastani Susan Mang'eni amefika mbele ya Kamati ya bunge kuhusu uhasibu kujibu maswali kuhusu ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za kati ya tarehe 30 Juni 2024 hadi Juni 30, 2025.