Skip to main content
Skip to main content

Katibu wa kilimo aonya makarani wa viwanda vya chai dhidi ya kuwapunja wakulima

  • | Citizen TV
    247 views
    Duration: 1:45
    Katibu katika Wizara ya Kilimo, Dkt. Paul Kiprono Rono, amewaonya makarani wa viwanda vya chai wanaodaiwa kuhitilafiana na mizani ya chai na hivyo kuwapunja wakulima.