- 138 viewsDuration: 1:54Katibu katika wizara ya kawi, Alex Wachira na mbunge wa Laikipia mashariki Mwangi Kiunjuri, watoa wito wa kuwa na umoja wa madhumuni miongoni mwa viongozi na wananchi ili kuepuka migawanyiko ya kisiasa, kuoanisha maendeleo ya ngazi ya chini na ya kitaifa, na kuweka malengo jumuishi ya maendeleo ya muda mrefu.