3 Aug 2026 10:16 am | Citizen TV 247 views Duration: 1:35 Katibu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Paul Rono, ametoa onyo kali kwa walanguzi na wanunuzi wasio waaminifu wa kahawa wanaodaiwa kuvuruga sekta ya kahawa katika Kaunti ya Kericho.