- 171 viewsDuration: 1:41Katibu wa Wizara ya Kilimo, Paul Rono, aliongoza wanawake zaidi ya 1,500 wanaoegemea vuguvugu la Wamama Na Ruto katika kaunti ya Kericho kwenye kampeni ya kuwahamasisha wakazi kujisajili katika Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) na kupata vitambulisho vya kitaifa.