Skip to main content
Skip to main content

Katika kijiji cha Makongeni kaunti ya Kwale jamii moja inaendeleza utunzaji wa miti ya mikoko

  • | Citizen TV
    636 views
    Duration: 3:14
    Katika kijiji cha Makongeni kaunti ya Kwale, kikundi kimoja cha jamii kinaendeleza utunzaji wa miti ya mikoko kwa kutumia njia mbadala za kujipatia mapato. Kikundi hicho cha Baraka Conservation kimewekeza katika miradi ya ufugaji kuku na samaki ili kuhamasisha wakaazi kuepuka kukata mikoko