Skip to main content
Skip to main content

Kaunti 18 zaonywa kuhusu hatari ya mvua ya El Nino

  • | Citizen TV
    15,041 views
    Duration: 3:12
    Serikali inasema kaunti 18 nchini ziko kwenye hatari kubwa ya kuathirika na mvua ya El Nino inayotarajiwa kuanza takriban majuma matatu yajayo. Aidha, Idara ya utabiri wa hali ya anga inaonya kuwa mvua hiyo huenda ikawa nzito ikitaka idara za dharura za serikali kuu na zile za kaunti kujiandaa kuzuia hatari