Skip to main content
Skip to main content

Kaunti 46 zakabiliwa na hatari ya mafuriko ya El Niño

  • | Citizen TV
    9,129 views
    Duration: 3:07
    Kaunti mbalimbali zimaendelea kujiandaa kupunguza athari na kuzuia maafa yanayotarajiw akusababishwa na mvua za El Nino. Mvua hizo zinatarajiwa kuanza mwezi Oktotoba hadi Fenruari mwaka ujao. Kulingana na Meneja wa Kudhibiti Majanga katika Shirika la Msalaba Mwekundu Peter Murgor, kaunti 46 kati ya 47 ziko kwenye hatari ya mafuriko, huku idadi ya watu wanaotarajiwa kuathrika na mafuriko ikizidi milioni 2