Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Embu yathibitisha kisa cha kwanza cha mpox

  • | Citizen TV
    623 views
    Duration: 1:00
    Kaunti ya Embu County imethibitisha kisa chake cha kwanza cha ugonjwa wa Mpox baada ya vipimo vya maabara vilivyofanywa na National Public Health Laboratory kuthibitisha maambukizi kwa mwanamke mwenye umri wa miaka 29 kutoka Wadi ya Kagaari Kaskazini katika Kaunti Ndogo ya Runyenjes.