- 737 viewsDuration: 3:16Wagonjwa zaidi ya 60 ambao wanaugua masikio kutoka kaunti ya Kajiado wametibiwa bila malipo kwenye Kambi ya Matibabu inayoendeshwa na Madaktari kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kenyatta kwa ushirikiano na Hospitali ya Rufaa ya Kajiado.