Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Kiambu yakana vikali madai ya vifo hospitalini

  • | KTN News
    262 views
    Duration: 2:21
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews Mgogoro mkubwa wa afya unaodaiwa kugharimu maisha ya zaidi ya watoto wachanga 136 na akina mama 20 kufuatia mgomo wa muda mrefu wa madaktari. Wabunge wa eneo hilo sasa wanatoa wito kwa serikali kuu kuingilia kati, wakidai serikali ya kaunti imeshindwa kuwahudumia wananchi wake. Hata hivyo, serikali ya Kaunti ya Kiambu imekana vikali ripoti hizo, ikisema kuwa ni za kupotosha na kwamba hakuna watoto wanaofariki katika vituo vyake vya afya. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews