23 Jul 2026 10:50 am | Citizen TV 459 views Duration: 1:42 Kaunti ya Kilifi yaendeleza mikakati ya kuhakikisha kuwa yaepuka majanga yawezayo kutokea kufuatia tahadhari ya mvua ya el- nino inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba iliyotolewa na idara ya hali ya hewa nchini