Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Kwale yatoa basari za vyuo vya ufundi

  • | Citizen TV
    158 views
    Duration: 2:00
    Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani na naibu wake Chirema Kombo watoa basari ya hundi ya shilingi milioni 19 kwa vyuo vya kiufundi vya Kaunti ya Kwale katika halfa ya kufuzu kwa mahafala wa vyuo vya kiufundi iliyofanyika katika uwanja wa babla huko Ukunda eneo la Msambweni.