Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Lamu yaweka mikakati ya kukabiliana na mafuriko yanayoweza kusababishwa na El Niño

  • | Citizen TV
    277 views
    Duration: 1:48
    Kaunti ya Lamu imeweka mikakati ya kukabiliana na mafuriko yanayoweza kusababishwa na mvua kubwa ya El Niño inayotarajiwa kunyesha hivi karibuni.