15 Jun 2026 10:30 am | Citizen TV 327 views Duration: 1:30 Kaunti ya Machakos imezindua mpango wa kutoa huduma za viungo bandia bila malipo, hatua inayolenga kurejesha matumaini, uhuru wa kutembea na hadhi kwa watu waliokatwa viungo.