- 593 viewsDuration: 1:48Serikali ya Mombasa kaunti yadai kuwa mwekezaji wa kibinafsi amechangia kuziba mkondo wa maji taka katika eneo la Mtopanga. Kaunti imesema hali hiyo inahatarisha afya ya wakazi kutokana na kuzorota kwa mfumo wa maji taka na imesisitiza kuwa hatua zitachukuliwa kuhakikisha mkondo huo unafunguliwa na mazingira yanalindwa.