- 156 viewsDuration: 1:52Aliyekuwa mwakilishi wa kike kaunti ya Samburu Maison Leshoomo amehimiza serikali ya kaunti hiyo kuhusisha vijana kwenye spoti za kila ikiwemo riadha. Akizungumza kwenye hafla ya ufunguzi rasmi wa michuano ya gavana, Leshoomo alibaini kuwa michezo huleta amani na Utangamano hasa miongoni mwa vijana. Wakati uo huo,Gavana wa Samburu Lati Lelelit ameahidi kupiga jeki maslahi ya vijana kwenye kaunti hiyo na kuwaunganisha kupitia michezo.