9 Oct 2026 1:40 pm | Citizen TV 617 views Duration: 2:32 Serikali za kaunti ya Jumuiya ya Pwani zimeafikiana kukuza na kuendeleza ubunifu wa vijana kupitia mwongozo wa sera za kaunti husika ili kuboresha biashara na kutatua swala na ukosefu wa ajira.