Skip to main content
Skip to main content

Kaunti zatumia Sh bilioni 17 kwa safari

  • | Citizen TV
    2,620 views
    Duration: 2:51
    Wawakilishi wa wadi na magavana walitumia zaidi ya shilingi bilioni 17 kwa safari za ughaibuni na humu nchini katika mwaka wa kifedha wa 2025/2026. Msimamizi wa Bajeti Margaret Nyakang’o amezitaja safari hizo kama ubadhirifu wa fedha, akisema nyingi hazikuwa na sababu ya kutosha ya kusafiri nje ya nchi. Na kama anavyoarifu Emmanuel Too, ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa kaunti zinadaiwa zaidi ya shilingi bilioni 170.