Skip to main content
Skip to main content

KEG yakemea kushambuliwa kwa wanahabari Ol Kalou

  • | Citizen TV
    1,695 views
    Duration: 1:41
    Kufuatia kushambuliwa kwa wanahabari, Baraza la Wahariri Nchini (KEG) limekemea tukio hilo, likisema wanahabari wana uhuru wa kikatiba kutekeleza majukumu yao ya kukusanya habari na kunasa picha kwa manufaa ya taifa. KEG imesema matukio hayo yanatia wasiwasi na yanapaswa kuchunguzwa.