Skip to main content
Skip to main content

Kennedy Ouma ashinda Sh1.5 milioni kupitia Shabiki.com

  • | Citizen TV
    230 views
    Duration: 1:09
    Kennedy Ouma kutoka Ruiru, kaunti ya Kiambu, amepata ushindi mkubwa wa shilingi milioni 1.516 kupitia mchezo maarufu kwenye Shabiki.com. Kennedy, anayefanya kazi ya kuuza rangi, amesema atatumia fedha hizi kupanua biashara anayoendesha pamoja na mkewe. Huku shamrashamra za Kombe la Dunia zikiendelea kupamba moto, Shabiki.com inaendelea kuwatuza mashabiki kupitia kampeni ya Shabikia World Cup Kishabiki. Wanaocheza michezo ya kubashiri na wale wa michezo ya crash wana nafasi ya kuibuka washindi.