Skip to main content
Skip to main content

Kenya bado hatarini ya msambao wa Ebola, serikali yaweka mikakati ya kuzuia

  • | Citizen TV
    431 views
    Duration: 1:46
    Taifa la kenya lingali kwenye hatari ya msambao wa virusi vya ebola, ugonjwa ambao umeuwa watu 141 katika mataifa ya DRC na Uganda kufikia sasa. Akizungumza kwenye mkutano wa kila wiki wa idara za wizara ya afya, katibu wa idara ya afaya ya umma Mary Muthoni amesema kuwa serikali imeweka mikakati kabambe ya kuzuia ugonjwa huo kuingia humu nchini.