Skip to main content
Skip to main content

Kenya bado iko katika hatari kubwa ya kukumbwa na virusi vya Ebola aina ya Budibugyo

  • | NTV Video
    216 views
    Duration: 2:00
    Kenya bado iko katika hatari kubwa ya kukumbwa na virusi vya Ebola aina ya Budibugyo vinavyoendelea kusababisha madhara makubwa katika baadhi ya maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Uganda, ambapo vifo 141 vimeripotiwa kufikia sasa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya