Skip to main content
Skip to main content

Kenya, Burundi waanza mazungumzo kuhusu wafanyabiashara wa kigeni

  • | Citizen TV
    8,906 views
    Duration: 2:16
    Katibu wa mashauri ya Kigeni Korir Singoei ametangaza kuanza kwa mazungumzo kati ya serikali ya Kenya na Burundi Kutatua mzozo ulioko kuhusu wafanyabiashara wa asili ya KiRundi kuendelea kufanya biashara humu nchini. Katibu Sing'oei akiwanya wakenya dhidi ya kuwavamia raia wa kigeni nchini. Na kama Melita Oletenges anavyoarifu, mashirika zaidi ya haki yakiongozwa na chama cha wanasheria nchini yamekosoa agizo la Rais William Ruto na kuendelea kuvamiwa kwa wafanyabiashara wadogo wa kigeni