Skip to main content
Skip to main content

Kenya kupangwa Kundi la kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Afrika Kusini, Guinea na Eritrea

  • | Citizen TV
    1,403 views
    Duration: 1:20
    Kocha wa timu ya taifa ya kandanda ya Harambee Stars, Benni McCarthy, amepangiwa tarehe ya kukutana na nchi yake ya Afrika Kusini katika mechi za kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazoanza Septemba 2026. Kenya, Uganda na Tanzania zitafuzu moja kwa moja kama wenyeji, lakini bado zitashiriki katika mechi za timu 48 za kufuzu kwa mashindano hayo.