Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza imeshabikia ruwaza ya Rais Ruto

  • | Citizen TV
    2,196 views
    Duration: 2:44
    Viongozi wa kenya kwanza wanasema Rais William Ruto ana uungwaji mkono thabiti katika eneo la Mlima Kenya na kuwataka wakenya kuunga mkono ajenda mpya ya maendeleo aliyoratibu Alhamisi. Viongozi hao wanasema serikali imepiga hatua kubwa katika miradi ya maendeleo kwenye maeneo yaliyotengwa kama kaskazini mwa nchi. Viongozi hao walikuwa katika hafla mbalimbali huko Maralal, Mandera, Bomet na Garissa.