Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza wahimiza uungwaji mkono wa serikali Vihiga, wakosoa upinzani

  • | Citizen TV
    1,272 views
    Duration: 1:34
    Viongozi wanaoegemea upande wa serikali wakiongozwa na spika wa bunge la kitaifa Moses wetang'ula wamewasuta wenzao wa upinzani wakisema wanawapotosha wakenya kupitia siasa za kugawanya. Wakizungumza kaunti ya Vihiga, wanasiasa hawa waliwataka wakenya kuwapuuza wenzao wa upinzani wakisema hawana ajenda na mpango kamili kwa wakenya.