Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza: Walimu wakuu waaswa subira, Gachagua akosolewa

  • | Citizen TV
    632 views
    Duration: 1:31
    Wabunge wanaoegemea serikali wamewataka wazazi nchini kutobabaishwa na swala la mgao wa fedha kuchelewa kufika shuleni. Viongozi hao wanasema kuwa serikali imelazimika kuchelewesha fedha ili shule zote zitathminiwe kwanza. haya ni huku viongozi wengine wakiendeleza shughuli za kuwapiga jeki kina mama eneo la kesses kaunti ya Uasin Gishu.