Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza wamshinikiza Kanja kuchukua hatua dhidi ya wahusika wa vurugu

  • | Citizen TV
    2,977 views
    Duration: 2:24
    Viongozi wa Kenya Kwanza sasa wamemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kuwakamata na kuwachukulia hatua wahusika wa vurugu za kisiasa zinazoshuhudiwa katika mikutano ya kisiasa. Viongozi hao, waliokuwa katika Kaunti za Uasin Gishu na Trans Nzoia, wameendeleza lawama dhidi ya upinzani kwa kile walichokitaja kuwa ni kuendesha siasa za ukabila na mgawanyiko. Na kama Collins Shitiabay anavyoripoti, wanasiasa hao wameendelea kumpigia debe Rais William Ruto kuchaguliwa kwa muhula mwingine.