Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza watetea Ruto, watishia kusimamisha malimbikizi ya Uhuru

  • | Citizen TV
    3,576 views
    Duration: 2:23
    Viongozi wanaoegemea serikali ya Kenya Kwanza wameendelea kutetea uongozi wa Rais William Ruto huku wakiendeleza tisho la mswada wa kusimamisha malimbikizi ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta. Wanasiasa hawa wakimlaumu rais mstaafu kwa kuhitilafiana na uongozi wa Rais Ruto. Chrispine Otieno na taarifa zaidi.