- 1,582 viewsDuration: 1:20Wanasiasa wa Kenya Kwanza wameendeleza kampeni yao kaunti ya Trans Nzoia, wakimpigia debe Rais William Ruto kuchaguliwa kwa muhula wa pili kwenye uchaguzi mkuu ujao. Wanasiasa hao waliokuwa eneo bunge la Cherangany, wamewataka wenzao kwenye upinzani kuepuka matusi na mashambulizi binafsi dhidi ya Rais, wakiwataka kuuza sera na ajenda zao zenye maana kwa wakenya