Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza yakashifu siasa za upinzani

  • | Citizen TV
    1,129 views
    Duration: 2:49
    Viongozi wa Kenya Kwanza wamewakashifu wenzao wa upinzani kwa kile wanachokitaja kuwa siasa za kuwapotosha wananchi badala ya kujadili utendakazi wa serikali. Viongozi hao wametetea rekodi ya maendeleo ya Rais William Ruto, wakisema Wakenya wanajionea wenyewe matokeo ya utendakazi wake. Walizungumza katika mikutano mbalimbali iliyofanyika katika kaunti za Vihiga, Uasin Gishu na Makueni.