Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza yakosoa matamshi ya Hassan Omar kuhusu wapiga kura

  • | Citizen TV
    2,236 views
    Duration: 2:06
    Viongozi wanaounga mkono serikali ya Kenya Kwanza wameendelea kukosoa matamshi ya Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar, kuhusu usajili wa wapiga kura waliofariki.