Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza yamtahadharisha Kalonzo kuhusu upinzani

  • | Citizen TV
    5,993 views
    Duration: 2:53
    Viongozi wa Kenya Kwanza sasa wamemtahadharisha kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, dhidi ya kuendelea kujihusisha na upinzani wakisema asipochunga ataachwa nje. Wakizungumza Makueni katika hafla ya kisiasa, viongozi hao vilevile walimkemea aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kwa kile walichosema ni kulitawanya taifa kwa misingi ya kikabila. Wakati huo huo, viongozi wa ODM pia walirindima siasa za kumuunga mkono Rais William Ruto jijini Nairobi.