Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza yamtaja Uhuru mfadhili wa Linda Mwananchi

  • | Citizen TV
    5,412 views
    Duration: 2:46
    Viongozi wa Kenya Kwanza wanadai kuwa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ndiye mfadhili mkuu wa mrengo wa Linda Mwananchi, wakisema juhudi zozote za kuvuruga serikali ya William Ruto hazitafaulu. Wakizungumza kaunti ya Taita Taveta, viongozi hao walikemea matamshi ya viongozi wa upinzani, huku baadhi ya viongozi wa ODM wanaomuunga mkono Rais Ruto wakiahidi kuendelea kuunga mkono azma yake ya kuwania muhula wa pili wa uongozi.