Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza yapinga uagizaji wa sukari kutoka nje

  • | Citizen TV
    1,699 views
    Duration: 2:34
    Wanasiasa wa Kenya Kwanza wameelezea hofu yao kufuatia ongezeko la matapeli wa uagizaji wa sukari kutoka nje, wakisema hatua hiyo inakandamiza uwezo wa viwanda vya humu nchini kuzalisha sukari ya kutosha. Viongozi hao, wakizungumza katika kaunti ya Vihiga wakati wa shughuli ya kusaidia makundi ya kina mama, wanataka serikali kupiga marufuku uagizaji wa sukari kutoka nje. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaaarifu zaidi.