- 1,140 viewsDuration: 1:03Viongozi wa Kenya Kwanza wamesisitiza kuwa ushindi wa DCP katika uchaguzi mdogo wa Ol Kalou si kielelezo cha mwelekeo wa siasa nchini, wakidai kuwa Rais William Ruto bado ana ushawishi mkubwa. Wakizungumza katika Kaunti ya Kericho, viongozi hao wamesema Rigathi Gachagua na wandani wake wanasherehekea mapema, wakisisitiza kuwa mapambano ya kisiasa bado hayajaisha.