Skip to main content
Skip to main content

Kenya Kwanza yataka Gachagua akamatwe

  • | Citizen TV
    8,688 views
    Duration: 3:21
    Viongozi wanaounga mkono serikali sasa wanaitaka idara ya usalama kumkamata Rigathi Gachagua, wakisema hatua hiyo inapaswa kutangulia wito wa upinzani wa kutaka Aden Duale afunguliwe mashtaka kutokana na matamshi yake. Wakizungumza Kilgoris, viongozi hao akiwemo Moses Wetang'ula walishutumu upinzani kwa kile walichokitaja kuwa ukosefu wa mwelekeo na kuendeleza siasa za mgawanyiko. Viongozi wengine waliendelea kuhamasisha uungwaji mkono kwa serikali katika kaunti za Vihiga, Kuresoi na Bomet.