- 741 viewsDuration: 2:42Viongozi wa Kenya Kwanza wamewakashifu wenzao wa upinzani kwa madai ya kuendeleza siasa za kuwapotosha Wakenya badala ya kuangazia maendeleo na utendakazi wa serikali. Wakizungumza katika eneo la Magharibi, viongozi hao wametetea rekodi ya maendeleo ya Rais William Ruto huku wakimpigia upatu kupata muhula wa pili. Francis Mtalaki anaarifu.