Katika hatua ya kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu na uhifadhi wa mazingira, Chuo Kikuu cha Sukhothai Thammathirat nchini Thailand kupitia Wakfu wa Green Africa, kitashirikiana na wizara ya elimu kuboresha elimu na mikakati ya uhifadhi wa mazingira. Katika hafla iliyoandaliwa kupitia mtandaoni , mkataba huo wa maelewano, utatoa fursa ya kipekee kwa walengwa kupata ufahamu wa jinsi taifa la Thailand limeweza kiumarisha uchumi kupitia elimu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive