Skip to main content
Skip to main content

Kenya na Ujerumani zaandaa mashauriano muhimu

  • | KBC Video
    324 views
    Duration: 2:09
    Kenya inategemea uhusiano dhabiti na ushirikiano wa kimkakati baina yake na Ujerumani ili kuimarisha ushirikiano katika nyanja zenye umuhimu wa kitaifa. Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi leo aliandaa mazungumzo ya kina yanayonuiwa kunufaisha pande mbili na Waziri wa masuala ya kigeni wa Ujerumani, Dkt. Johann Wadephul, ambaye yuko humu nchini kwa ziara rasmi ya siku mbili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive